Tuesday, July 18, 2017

   
               
NIENDE WAPI?‘’Dunia imenichukia’’
IMELETWA KWAKO NA SIMULIZI MIX ENTERTAINMENT                       
MWANDISHI ZUBERY RAZUUR MAVUGO.

  SEHEMU YA KUMI.

ILIPOISHIA:
   Uvumilivu ulimshinda mtoto yule, yaani hajaiba cha mtu halafu anaumizwa namna ile kwanini hasa? Hapo akayachukuwa macho yake mawili na kuyaangazisha chini, kisha akaanza kuyatembeza huku na kule mpaka hapo alipofanikiwa kuliona jiwe lililokuwa limeshangaashangaa mchangani, tabasamu lakujilazimisha likamtoka ENDELEA KUSOMA>>

KWENDA SEHEMU YA KUMI NA MOJA=>SEHEMU YA KUMI NA MOJA

0 comments:

Post a Comment